Utafsiri maalum uliofanywa na mtafsiri aliyedhibitishwa.

Tunatoa huduma za utafisiri mtandaoni kamili za kitaalamu pamoja na mwenzetu tolingo. Itisha utafsiri kwa kufuata hatua nne rahisi.

Je, ulikua unatafuta kamusi zetu za mtandao? Bonyeza hapa.

tolingo

Utafsiri maalum ubora kwa bei nafuu:

Tunaelewa mahitaji yako kupunguza bei. Tafsiri zetu zote zinafanywa na wakalomani waliodhibitiwa kwa bei isiobadilika. Unaweza kuchagua kiwango cha ujuzi unayohitaji ya utafsiri wako, ambapo unahitaji mkalimani juuzi au ambapo unahitaji kuangalia mara nyingine ya nakala yako.

Tunahakikisha:

  • Wazungumzaji: Tunafanya kazi na watafsiri marufu pekee ilikuhakikisha utafsiri wa hali ya juu.
  • Proofreading and checking: Use our proofreading option to produce even better translation results.
  • Kuchunga kwa data: Tutachunga data yako katika kila kiwango cha utafsiri.

Inafanyaje kazi? Hatua zetu nne rahisi:

Hatua ya 1: waka nakala yako kwenye mtandao ukitumia fomu ilioko hapo juu. Unaweza aitha kuweka nakala kwa mkono au uweke waraka wako kwenye mtandao. Tunakubali faili za kawaida kama PDF, .doc na nakala za nyaraka.
Hatua ya 2: Chagua lugha asili ya nakala. Halafu uchague lugha unayohitaji ya tafsiri kutoka kwenye menyu kunjuzi.
Hatua ya 3: Chagua kundi nne z tafsiri yako. Hii husaidia kupata atakaye fanya kazi hii aliyehitimu na atakayeshugulikia tafsiri yako.
Hatua ya 4: Ili kupata nukuu yako inayofaaa na kuweka tafisir yako kwa utaratibu bonyeza ‘piga hesabu’.

Nani ni mtafsiri aliyedhibitishwa?

Ili kuwa na tafsiri imefanyiwa waki na mtaalamu wa agenti inahitaji pesa, na kwa sababu nzuri. Tafsiri za mashini, programu yakutafsiri au tafsiri automatiki haziwezi kugundua mada ndogo na alama za lugha. Baada ya kutumia wakati wako mwingi na biidi yako kwenye nakala, tafsiri yoyote inafaa kuonyesha bidii yako uliotumia. Ukitumia tafsir ya mtandao ya nakala inaweza kusababisha makosa katika tafsiri na za aibu. Tunapendekeza sana unaze na kutumia mkalimani aliyeidhiniwa badala ya kutumia tafsiri ya mtandao ya bure kama njia nyingine na kuhakikisha kuwa nyaraka zako ni sahihi, za hali ya juu na za kitaalamu.