Kamusi ya Kijerumani-Kifaransa

Ingisha neno ya Kijerumani au neno katika nafasi ya maandishi ili kuitafuta katika kamusi ya Kijerumani-Kifaransa. Kawaida maneno ya Kifaransa ambayo unataka kutafsiri kwa Kijerumani pia unaweza kuweka katika nafasi ya maandishi. Kuna njia ambazo unaweza kupanua utafutaji wako. Kama huwezi kutambua tofauti kati ya maneno yanayofanana sana ya Kijerumani au Kifaransa unaweza kujaribu kutumia Web au zana za Wikipedia search kujaribu kuona matokeo yanayohusiana na msemo ulilotafuta.

Bonyeza hapa ilikupata utafsiri maalum wa utafsiri maalum wa Kijerumani-Kifaransa wa nakala kamili.

Tafuta katika kamusi ya Kijerumani hadi Kifanransa kwakutumia herufi

Kwa ktumia herufi zilizokuwa hapo chini unaweza kutafuta katika kamusi ya Kijerumani hadi Kifaransa moja kwa moja. Chagua herufi kutoka hapo chini ili kuona maneno yote ya Kijerumani katika kamusi ya Kijerumani-Kifaransa yanayoanza na herufi fulani. Kisha unaweza kupekua orodha ya maneno na utazame utafsiri wote wa Kifaransa, visawe vya Kifaransa kwa kubonyeza neno la Kijerumani.

Dhibitisha utafsiri wa Kijerumani hadi Kifaransa

Ili neno mpya ya maneno ya Kijerumani au Kifaransa kutiwa katika kamusi ya Kijerumani-Kifaransa yanahitajika kuchunguzwa kwa makosa. Unaweza kusaidia kwa kupigia kura utafsiri wa Kijerumani hadi Kifaransa ambayo unaona ni sahihi na unaweza kupendekeza mabadiliko ya sarufi, mpangilio wa maneno au mwandiko wa maneno ya Kijerumani au Kifaransa ambayo yameongezwa tayari.

Tarehe

Kijerumani

Kifaransa

Kura

19.01.2017

meine Mutter

ma mère

0

19.01.2017

Zahlungsausfall [sher.]

incident de paiement {nomino} [sher.] [abbr. technical]

0

19.01.2017

Veranlagung {mke} [fe.] [abbr. technical]

assiette de l'impôt {mke} [fe.] [abbr. technical]

0

19.12.2016

Zeitung {mke}

journal {mme}

4

05.12.2016

Lammleber {mke}

foie d'agneau {mme}

0

Pendekeza utafsiri mpya wa KIjerumani hadi Kifaransa

Je, kuna utafsiri wa kiufundi ya Kijerumani-Kifaransa ambayo huwezi kupata kwenye kamusi? Je, unahabari yoyote kuhusu maneno kawaida ya maongezi ya Kijerumani? Kwa kutumia sehemu ya maandishi yaliyokuwa hapo chini unaweza wa urahisi kuongeza maarifa yako kwa kamusi ya Kijerumani-Kifaransa.

KijerumaniKijerumani

Mapendekezo ya maneno ya mwisho ya watumishi: anhauen, Quatsch reden, Zeitung, Lammleber, Geflügelleber (zaidi)

Kwanini ushiriki?

Kwa nini usiwe mmoja wa jamii ya bab.la na ujiunge na sisi katika ujenzi wa kamusi ya Kijerumani-Kifaransa bora na kubwa zaidi katika ulimwengu? Lengo letu ni kuwa mtoa kamusi kubwa kabisa ya bure kwenye mtandao. Kuwa na mafanikio haya, tunahitaji msaada wako. Kutafsiri kutoka Kijerumani hadi Kifaransa ni tofauti na kikesi kulingana na sababu kadhaa. Neno ya Kifaransa inaweza kuwa na tafsiri moja katika eneo moja na maana tofauti katika eneo jingine. Kunaweza kuwa zaidi ya utafsiri moja sahihi ya Kifaransa kwa neno ya Kijerumani, kama maneno yanaweza kuwa na tafsiri tofauti kulingana na masharti ya mazingira yaliyokwemo. Utafsiri wa Kiufundi ya Kifaransa inaweza kutofautiana sana kutoka katika tafsiri ya Kifaransa ya matibabu, ambayo ni kwa sababu kamusi Kijerumani-Kifaransa inayo utafsiri mbalimbali. Tusaidie kwa kwa kuwasilisha mapendekezo mapya na kuangalia maongezi ya wengine.
Sign up kama mwanachama na utapata faida ya wazi kwa watumiaji waliojiandikisha kwenye bab.la. Unaweza kupata pointi kwa world ranking, kwa mfano, kuingisha mapendekezo ya neno mpya kwa ajili ya kamusi Kijerumani-Kifaransa. Katika German-French forum unaweza kuuliza maswali kuhusu utafsiri ambao hauna uhakika wa. Watumiaji wengine wa bab.la watajibu na kuuliza maswali na masomo kama lugha ya Kijerumani na Kifaransa, utafsiri wa Kijerumani hadi Kifaransa na mada nyingine yanayohusiana na lugha.

Got time to kill?

Try our Hangman game

Wafuasi wa juu
  1. Asia
  2. jedi2000
  3. johnbarre
  4. schoi
  5. giuliadedo
  6. Thomas
Trending translations