Kamusi ya Kiitaliano-Kiingereza

Tafuta utafsiri wa misemo ya Kiitaliano na maneno kwenye kamusi ya Kiitaliano-Kiingereza kwa kutumia nafasi ya maandishi iliyokuwa hapo juu. Unaweza pia kutafuta katika Kiingereza ili kupata utafsiri wa Kiitaliano inayofaa. Kupata utafsiri katika lugha kamusi zingine za mtandao isiokuwa Kiitaliano-Kiingereza, chagua kutoka kwa orodha ya kushuka chini. Kwa kuchagua utafiti katika Mtandao, Picha au Wikipedia utapata matokeo ya ziada ya msemo wa Kiitaliano ambayo umeingiza.

Bonyeza hapa ilikupata utafsiri maalum wa utafsiri maalum wa Kiitaliano-Kiingereza wa nakala kamili.

Tumia herufi kutafuta kwenye kamusi ya Kiitaliano

Chagua herufi kutoka kwenye orodha iliyokuwa hapo chini ilikuona orodha nzima ya maneno ya Kiitaliano kwenye kamusi ya Kiitaliano-Kiingereza. Hii inakupa ruhusa ya kutafuta kwenye kamusi misemi ma maneno kama hauna uhakika wa kisarufi.

Dhibitisha tafsiri ya Kiitaliano.

Tusaidie sisi na watumizi wengine wa bab.la kuimarisha kamusi ya Kiitaliano-Kiingereza. Hapo chini kuna nyongeza zingine za hivi maajuzi za kamusi ya Kiitaliano-Kiingereza. Pigia kura tafsiri ya Kiitaliano kama unafikiria linafaa liongezewe kwenye kamusi ya Kiitaliano-Kiingereza au kama pendekezo hilo linafaa lifutwe. Kama wadhania tafsiri hii ni sahihi, lakini inamakosa madogo madogo basi; unaweza kupendekeza mabadiliko.

Tarehe

Kiingereza

Kiitaliano

Kura

17.01.2017

foreign {kiv.}

straniera {kiv. k}

0

Pendekeza tafsiri mpya ya Kiingereza hadi Kiitaliano

Je, unajua mpambanuzi wa msamiati wa Kiitaliano? Una jua sheng ya Kiitaliano ya hivi majuzi? Mbona usiyaongeze kwenye kamusi ya Kiitaliano-Kiingereza? unachohitajika kufanya ni kuongeza tafsiri mpya ya Kiitaliano kwenye sanduku hapo chini.

KiitalianoKiitaliano

Mapendekezo ya maneno ya mwisho ya watumishi: straniera, simpatico, simpatico, contributo, scappatella (zaidi)

Kwanini ushiriki?

Dhibitisha kuwa haujakosa kwa kujiunga na jamii ya bab.la leo na uwe mmoja wa wale ambao wanaounda kamusi nzuri zaidi ya Kiitaliano-Kiingereza duniani. Kamusi hii inakua kwa kila neno au msemo mpya unaongezwa. Inapokua, inakuwa bora zaidi na yenye manufaa kwa kila kitu. Lugha ya Kiitaliano inabadilika kila wakati, na hivyo jinsi ya kutafsiri Kiitaliano hado Kiiagereza pia inabadilika. Watumizi wanavyochangia na kushiriki maarifa yao, kamusi ya Kiitaliano-Kiingereza inakuwa ya kisasa. Jinsi maneno mapya ya Kiitaliano yanavyopendekezwa kwenye kamusi, yanatakikana kuidhibitishwa ili kuhakikisha kuwa ni sahihi na silabi zao ni sawa sawa. Kwa sababu hii, kila neno jipya lazima lipate kura 10 kabla ya kuongezwa kwenye kamusi ya Kiitaliano-Kiingereza, lakini litakuwa na alama ya kutodhibitishwa.
Jisajili kupata akaunti yako ya bure na uwe mtumizi aliyesajiliwa. Kama mtumizi huyo, utanufaika kwa mengi yasiyopatikana kwa watumizi wengine. Kwa kila tafsiri mpya ya Kiitaliano unayopendekeza, unapata alama kwenye cheo cha dunia. Kama hauna uhakia kuhusu utafsiri wa Kiitaliano unaweza kuuliza watumizi wengine wa bab.la usaidizi. Katika jukwaa la Kiitaliano-Kiingereza watumizi wa bab.la hujadiliania, tafsiri, matumizi ya lugha na lugha ya Kiitaliano kwa jumla.

Internship offers abroad for Kiswahili native speakers

Wafuasi wa juu
  1. Asia
  2. jedi2000
  3. johnbarre
  4. schoi
  5. giuliadedo
  6. Thomas
Trending translations