Kamusi ya Kiingereza-Kirusi

Ingiza neno unalotaka litafsiriwe kwa Kirusi kwenye nafasi iliopo hapo juu. Tafsiri zote za Kiingereza na Kirusi za tafutuwa kwenye kamusi ya Kiingereza kumaanisha lugha ulilotumia kuingisha neno halijalishi. Unapokuwa na matokeo zaidi ya kamusi ya Kiingereza-Kirusi, unaweza kupunguza matokeo ya tafsiri hii kwa kuchuja sarufi, eneo na miondoko.

Bonyeza hapa ilikupata utafsiri maalum wa utafsiri maalum wa Kiingereza-Kirusi wa nakala kamili.

Tumia herufi kutafuta kwenye kamusi ya Kiingereza-Kirusi

Kwa kubonyeza herufi za alfabeti zilizokuwa hapo chini, unaweza kutafuta katika kamusi ya Kiingereza-Kirusi moja kwa moja. Angalia kwenye orodha ya maneno kwa kamusi ya Kiingereza-Kirusi na ukipata matamshi yafaayo bonyeza ilikuona visawe na matamshi sambamba vya Kirusi

Dhibitisha tafsiri ya Kiingereza hadi Kirusi

Watumiaji wanao changia kila mara kwenye tafsiri mpya za Kirusi zilizopendekezwa. Unaweza kutuaisidia kwa kuangalia kama ni sahihi. Bonyeza kwenye kielekezi ili kupigia kura tafsiri sahihi za Kiingereza-Kirusi au kutueleza kama pendekezo linafaa lifutwe.

Tarehe

Kiingereza

Kirusi

Kura

16.01.2017

Grand Theft Auto

Большая Кража Машин

0

15.01.2017

tail

хвост

0

15.01.2017

Bad gamer

Рак

1

15.01.2017

coding {nomino} [Kiingr. US] [sio sanifu]

кодинг {mme} [sio sanifu]

0

12.01.2017

Cool

круть

0

Pendekeza tafsiri mpya za Kiingereza hadi Kirusi

Je, wahisi kama kunatafsiri za Kiingereza-Kirusi zisizo patikana? Je, kuna matamshi ya kifundi yasiyo jumulishwa kwenye tafsiri? Kwa kuingiza maneno ya Kiingereza na Kirusi kwenye nafasi hii, unaweza kuongeza tafsiri unazo pendekeza za Kirusi kwenye kamusi.

KiingerezaKiingereza

Mapendekezo ya maneno ya mwisho ya watumishi: stroke, wyvern, encouraging, to promise, spokesperson (zaidi)

Kwanini ushiriki?

Shiriki katika furaha katika bab.la na kutusaidia. Tunataka kutengeneza kamusi ya Kiingereza-Kirusi kwenye mtandao, na tunataka kufanya hivyo pamoja na wewe. Kielezi huo unaweza kuwa na utafsiri tofauti kadhaa ya Kiingereza-Urusi. Kulingana na eneo au mazingira ambayo neno la Kirusi linatumika katika, linaweza kuwa na maana tofauti. Tunataka kamusi ya Kiingereza-Kirusi iwe na tafsiri zote hizi pamoja na tofauti za msamiati wa wataalamu wa Kirusi. Mingi ya hizi tafsiri ya Kirusi yaliongezwa na watumizi wengine, kama wewe. Bila shaka, ili kudumisha kiwango cha juu na bora, neno lolote mpya la Kiingereza au Kirusi linaloongezwa katika kamusi ya Kiingereza-Kirusi, linahitaji kudhibitishwa. Hata kama tafsiri wa Kirusi haijawahi kupitishwa bado inaonyesha juu katika matokeo ya utafutaji. Ingawa inayo alama kama zisizokuwa na ushahidi, na baada ya kupita tu uchunguzi wa watumiaji wengine 10, ndio itawekwa pamoja na tafsiri katika kamusi ya Kiingereza-Kirusi.
Hakikisha kuwa haujakosa chochote kwa kusainiwa kwa burekwa akaunti ya bab.la leo. Wanachama si tu sehemu ya jamii lakini pia kushindana kwa nafasi ya juu kwenye bodi ya dunia cheo ya kiongozi duniani. Tia Changamoto kwa familia, marafiki au watumiaji wengine. Kila wakati ukishiriki na kutusaidia kufanya Kamusi ya Kiingereza-Kirusi bora, wewe unapata pointi. Mfano itakuwa kupendekeza utafsiri mpya wa Kiingereza-Kirusi. Kama una neno la Kirusi unataka kuongeza, lakini hujui tafsiri yake sahihi, unaweza kuulizia msaada kutoka kwa watumiaji wengine wa bab.la. jukwaa la Kiingereza-Kirusi ni sehemu kubwa ya kuuliza maswali juu ya mambo yoyote kuhusiana na tafsiri ya Kirusi au lugha ya Kirusi.

Got time to kill?

Try our Hangman game

Wafuasi wa juu
  1. Asia
  2. jedi2000
  3. johnbarre
  4. schoi
  5. giuliadedo
  6. Thomas
Trending translations