Kamusi ya Kiingereza-Kiholanzi

Andika kifungu kwa Kiingereza na kutafuta kwa tafsiri ya Kiholanzi. Pia unaweza kuingiza neno la Kiholanzi ili kupata tafsiri ya Kiingereza kwani Kiingereza na Kiholanzi yote mawili yanatafutwa lisali limoja kwenye kamusi ya Kiingereza. Kama kuna matokeo mengi zaidi kwenye kamusi ya Kiingereza-Kiholanzi unaweza kutumia vichungi tofauti za kutafuta tafsiri za Kiingereza na Kiholanzi. Vichungi vita punguza matokeo yako ya Kiingereza-Kihollanzi ukitumia makundi, eneo, mwondoko, matumizi ya lugha na kadhalika.

Bonyeza hapa ilikupata utafsiri maalum wa utafsiri maalum wa Kiingereza-Kiholanzi wa nakala kamili.

Tumia herufi kutafuta kwenye kamusi ya Kiingereza-Kiholanzi.

Hauna uhakika neno fulani la Kiingereza lifaa kuandikwa na huwezi kulipata kwa kutumia kifaacha kutafutia? Bonyeza herufi zilizoko hapo chini ilikupata orodha kamilifu ya maneno ya Kiingereza na tafsiri zinazo patikana kwenye kamusi ya Kiingereza-Kiholanzi. Mara tu unapopata neno linalo ambatana na la Kiingereza unaweza kulibonyeza na kupelekwa kurasa ya Kiingereza-Kiholanzi kwenye kamusi.

Dhibitisha tafsiri ya Kiingereza-Kiholanzi

Hapa unaweza kuona mchango mpya wa watumizi kwenye kamusi ya Kiingereza-Kiholanzi. Kuwa na msemo kuhusu tafsiri ya maneno sahihi kwa kupigia kura ili kuongeza tafsiri mpya za Kiingereza-Kiholanzi kwenye kamusi. Ukiwa unahakiki neno unaweza pia kurekebisha mambo ya hivi karibuni yalio ongezwa ya tafsiri ya Kiingereza-Kiholanzi.

Tarehe

Kiingereza

Kiholanzi

Kura

22.01.2017

The situation is as follows

De situatie is als volgt

0

20.01.2017

guest-oriented [gastr.]

gastgericht [gastr.]

0

19.01.2017

lane signalling [usfr.]

rijstrooksignalering {de} [usfr.]

0

18.01.2017

stationary {umj.pk.} [abbr. administration]

briefpapier {jin.sp.} [abbr. administration]

0

18.01.2017

cots

kost

0

Pendekeza tafsiri mpya ya Kiingereza hadi Kiholanzi.

Unafahamiana na semi wowote wa Kiingereza au Kiholanzi? Unajua semi spesheli za Kiingereza na semi za Kiholanzi? Kwenye kisanduku hapo chini unaweza kuongeza kwenye kamusi ya Kiingereza- Kiholanzi.

KiingerezaKiingereza

Mapendekezo ya maneno ya mwisho ya watumishi: non-regulation (uniform), non-standaard, spring onions, also give the translationsuggestion for 'verantwoorden aan', reading list (zaidi)

Kwanini ushiriki?

Michango ya watumizi wetu ni njia muhimu ya kuuongeza maarifa ya tafsiri mpya za Kiingereza hadi Kiholanzi. Unaweza kusaidai kwa kuongeza vielezi au semi za kieneo unaweza kuwa unafahamu kamusi ya Kiingereza- Kiholanzi. Usikoswa kujivinjari, ungana nasi kwa bab.la na uwemmoja wa kuunda kamusi kubwa zaidi ya kimtandao duniani. Tunaongeza maneno kwa kamusi ya Kiingereza- Kiholanzi kila wakati kwani lugha hushinda ikibadilika. Kwani neno moja la Kiingereza zaweza kuwa na maana tofauti kwa Kiholanzi, tafsiri kadha tofauti za weza kuwapo. Kuhakikisha kuwa kamusi ya Kiingereza-Kiholanzi imebaki ya hali ya juu, maneno yoyote mpya ya Kiholanzi yana hitaji kuidhinishwa. Baada ya watumizi 10 wameangalia ongezo mpya la kamusi ya Kiingereza-Kiholanzi litaongezwa kwenye database. Kabla ya hayo, litaonekana kwenye matojeo ya utafutaji kwa faida ya wengine, lakini litaonekana kama lisilo sahihiwa.
Jisajili kama mtumizi wa bab.la kwakujiandikisha leo. Kama mmoja wa waliosajiliwa kwa jumuiya ya bab.la unaweza kupata alama moja kwa moja alama za cheo cha dunia. Unazawadiwa alama za, mfano pendekezo mpya ya maneno ya Kiholanzi kwenye kamusi ya Kiingereza-Kiholanzi. Iwapo unaswali kuhusu tafsiri za Kiingereza hadi Kiholanzi unaweza pia kutuma swali kwenye kongamano la Kiingereza- Kiholanzi.

Search for the most beautiful word
decupled
outlier

VOTE NOW

Wafuasi wa juu
  1. Asia
  2. jedi2000
  3. johnbarre
  4. schoi
  5. giuliadedo
  6. Thomas
Trending translations