Kamusi ya Kiingereza-Kihispania

Andika neno au semi ambayo ungependa tafsiri yake kutoka Kiingereza-Kihispania katika nafasi ya kutafuta hapo juu. Kwa kawaida waweza kuandika maneno ya Kiingereza ambayo wataka yatafsiriwe kwa Kihispania. Kuna chaguo nyingi za kukuwezesha kupanua utafutaji huu. Kama ungependa kupata tofauti kati ya matamshi yanayokaribiana ya Kihispania waweza kutumia Mtandao au Wikipedia search ili kutafuta vifaa na matokeo yanayohusiana na semi za Kihispania.

Bonyeza hapa ilikupata utafsiri maalum wa utafsiri maalum wa Kiingereza-Kihispania wa nakala kamili.

Tumia herufi kutafuta katika kamusi ya Kiingereza-Kihispania

Ukitumia herufi zilizokuwa hapo chini waweza kutafuta katika kamusi ya Kiingereza-Kihispania. Ilikuona maneno yote kwenye kamusi ya Kiingereza-Kihispania anza na herufi fulani utakayo chagua hapo chini. Unaweza kuvugua orodha na kuona tafsiri zote za Kihispania na pia visawe vinavyohusika kwa kubonyeza kwenye neno au kielekezi.

Dhibitisha utafsiri wa Kiingereza-Kihispania

Ili tafsiri iliyochanguliwa ya Kihispania ya semi na maneno kuhifadhiwa kabisa na kujumulishwa kwenye kamusi ya Kiingereza Kihispania lazima iwe imedhibitishwa. Unaweza kusaidia kwa kupiga kura kwa tafsiri za Kiingereza Kihispania ambazo unahisi ni sahihi au waeza kupendekeza mabadiliko kwenye silabi, lugha au maneno ya aidha Kiingereza au Kihispania ambayo unahisi sio sahihi.

Tarehe

Kiingereza

Kihispania

Kura

15.01.2017

in a nutshell [naha.]

en resumidas cuentas {kiel.}

0

12.01.2017

rook {umj.pk.} [abbr. games]

torre (ajedrez) {mke} [abbr. games]

0

05.01.2017

to endanger {kit}

suponer un peligro {kit}

0

03.01.2017

ornithological

ornitologico

0

03.01.2017

resolution

propósito

0

Pendekeza tafsiri mpya ya Kiingereza-Kihispania

Je, umesikia usemi wowote wa Kihispania hivi majuzi? Je, kuna shida yoyote ya tafsiri za Kihispania ulizopata kwenye kamusi? Ukitumia nyanja iliyomo hapa chini waweza kuongezea maarifa yako kwenye kamusi ya Kiingereza-Kihispania

KiingerezaKiingereza

Mapendekezo ya maneno ya mwisho ya watumishi: to endanger, wyvern, Holy door, detective story, retaliation (zaidi)

Kwanini ushiriki?

Unaweza kuwa mmoja wa jamii yetu ya bab.la na kuungana na kuunda kamusi ya Kiingereza-Kihispania iwe kubwa na bora zaidi duniani. Lengo letu kuu ni kuwa wasambazaji wakubwa duniani wa kamusi za kimtandao. Ili kufanya hivyo, tunahiataji usaidizi wako. Utafsiri wa Kiingereza-Kihispania ni tofauti kutegemea na kulingana na mitindo mbali mbali. Neno moja la Kihispania lina weza kuwa na maana tofauti kilingana na sehemu zinazohusika. Kuna uwezekano wa kuwa na tafsiri zaidi ya moja ya Kihispania, kwani neno lina weza kuwa na maana tofauti na usemi uliowekwa. Tafsiri ya Kihispania yaweza kutofautiana sana kutokana na tafsiri ya kisayansi, ndiyo maana kamusi ya Kiingereza-Kihispania inajumuisha upambanuzi wowote. Tusaidie kwa kuongeza maoni mapya na kuangalia zilizoongezewa.
Register kama mtumiaji wa bab.la na upokee maarifa yaliyokuwa wazi kwa watumiaji kwa wanachama wa bab.la. Utakusanya pointi kwenye world ranking Unapata alama, kwa mfano kwa kupendekeza tafsiri mpya za Kiingereza-Kihispania. Kwenye English-Spanish forum

Internship offers abroad for Kiswahili native speakers

Wafuasi wa juu
  1. Asia
  2. jedi2000
  3. johnbarre
  4. schoi
  5. giuliadedo
  6. Thomas
Trending translations