Kamusi ya Kihispania-Kiingereza

Tumia nafasi ya kutafuta ili kutafuta katika kamusi ya Kihispania-Kiingereza kwa kuandika neno la Kiingereza au Kihipsania la kutafsiriwa. Iwapo matokeo ni zaidi, tumia vichungi kupunguza matokeo ya tafsiri za kihispania au Kiingereza. Ficha matokeo yasiokuwa na maana kwa kutumia lugha, lugha ya kimaeneo na miondoko.

Bonyeza hapa ilikupata utafsiri maalum wa utafsiri maalum wa Kihispania-Kiingereza wa nakala kamili.

Tumia herufi kutafuta kwenye kamusi ya Kihispania

Unajaribu kutafuta tafsiri ya matamshi ya Kihispania, lakini huweza kumbuka matashi sahihi? Hapa unaweza kutafuta moja kwa moja kwenye kamusi ya Kihispania. Chagua herufi hapo chini na kuvugua orodha kamili ya maneno na misemo ya Kihispania

Dhibitisha tafsiri ya Kihispania.

Orodha hii inaonyesha tafsiri mpya za Kihispania zilizoongezwa na watumizi. Kabla yaongezewe kwenye kamusi ya kishispania kama tafsiri, za hitaji kuangaliwa. Unaweza kusaidia kwa kupigia kura tafsiri na kupendekeza mabadiliko ya misemo na maneno yanayopatakinana kwa Kiingereza na Kihispania.

Tarehe

Kiingereza

Kihispania

Kura

17.01.2017

fsda [anati.]

asdf {kiung.} [anati.] [Ko.] [lj.] [kmf]

0

17.01.2017

Norway in a nutshell [sfr.]

Lo esencial, imprescindible, de Noruega [sfr.]

0

15.01.2017

in a nutshell [naha.]

en resumidas cuentas {kiel.}

0

12.01.2017

rook {umj.pk.} [abbr. games]

torre (ajedrez) {mke} [abbr. games]

0

05.01.2017

to endanger {kit}

suponer un peligro {kit}

0

Pendekeza tafsiri mpya za Kihispania.

Je, ulitafuta kwenye kamusi ya Kiingereza na huku pata vielezi unayotafuta? Labda kuna tafsiri ya Kihispania-Kiingereza isiyo patikana? Kwenye nafasi ilioko hapo chini unaweza kuongeza pendekezo mpya kwenye kamusi ya Kihispania-Kiingereza.

KihispaniaKihispania

Mapendekezo ya maneno ya mwisho ya watumishi: suponer un peligro, guiverno, Puerta santa, novela policíaca, represalias (zaidi)

Kwanini ushiriki?

Shiriki na kushirikiana katika bab.la kwa kutusaidia kuboresha kamusi zetu za mtandao. Lengo letu ni kuwa kamusi ya Kihispania-Kiingereza kubwa zaidi kwenye mtandao katika dunia, na unaweza kutusaidia kufanya hivyo. Mchango wa watumizi ni kwa mbali njia ya haraka sana ya kamusi kukua. Kwa mfano, tafsiri mpya na tafsiri kwa misimu ya Kihispania huendelezwa kila siku. Maana ya neno hubadilika kulingana na umri kundi au eneo ambapo linatumika. Kabla ya hizi tafsiri ya Kihispania kuwa lugha ya kawaida, watumiaji wanaweza kuyapendekeza kama nyongeza katika kamusi ya Kihispania-Kiingereza. Pia, baadhi ya aina ya tafsiri maalum unaweza tofautiana sana. Huo neno la Kihispania linaweza kuwa na tafsiri mbili tofauti sana katika lugha ya Kiingereza kutegemea eneo hilo linalohsishwa nalo.
jiandikisheleo na kuwa mtumizi aliyeandikishwa na jumuiya ya bab.la. Michango yoyote ambayo unatoa, kama kuongeza maneno mapya kwa kamusi ya Kihispania-Kiingereza, utapata pointi ya cheo cheo duniani. Kama unataka kuongeza neno jipya, lakini huna uhakika jinsi hutafsiriwa kutoka Kihispania hadi Kiingereza, watumiaji wengine wa bab.la wako tayari kukupa msaada. Uliza swali katika jukwaa jukwaa la Kihispania-Kiingereza na kujadili mada kama tafsiri ya misemo ya kawaida katika lugha ya Kihispania, sarufi ya lugha ya Kihispania na mambo mengine kuhusiana na lugha ya Kihispania.

Daily language articles on lexioPhiles

Wafuasi wa juu
  1. Asia
  2. jedi2000
  3. johnbarre
  4. schoi
  5. giuliadedo
  6. Thomas
Trending translations