Utafsiri maalum
Lexiophiles
Misemo
Kamusi Msamiati Utafsiri
 
Kirusi<>Kijerumani

Dhibitisha tafsiri

Kupenda lugha-sisi hapa bab.la tunapenda lugha. Pamoja na wewe tunataka kuunda kamusu kubwa zaidi duniani ya mtandao. Watumizi wote wanaweza kusaidia!

Kando na kuingiza pendekezo za tafsiri zako unaweza pia kudhibitisha tafsiri za watumizi wengine. Unaweza kupigia kura kwa kila tafsiri zilizopendekezwa. Pendekezo zinahitaji kura kumi kutoka kwa watumizi ilikuhifadhiwa kabisa zilizo “hadhibitishwa” kwenye kamusi.


Kwa kubonyeza “dhibitisha” unaweza kupigia kura tafsiri sahihi. Kama unapendekezo bora kuliko zilizo orodheshwa (‘ex.’, kama lebo ya somo haipatikani), unaweza kuingiza tafsiri yako kama njia badala. Pendekezo lako litaonekana kwenye orodha kwa ajili ya mtumizi mwingine. Pendekezo zingine hazifai kuwa kwenye kamusi kwa sababu zinapatikana kwenye kamusi au kwasababu si sahihi. Bonyeza kwenye kudude cha kufuta au sahihi kwa kuingiza pendekezo lingine.



Dhibitisha neno