Tunatoa vifaa chache ambazo husaidia watumiaji kufikia bab.la kwa haraka zaidi. Bonyeza kwenye plug-in ili kupata maelezo ama picha yake katika matumizi na muungano wa kudownload:
App ya kamusi zitakuruhusu utafute moja kwa moja kamusi zetu kwenye iPhone au iPod touch yako. App hili linatumika usipokuwa kwenye mdahalishi kwa hiyo usiwe na wasiwasi kuhusu malipo ya data ukitafuta. Angali katika duka la maApp ya iTune ili kuona kama mkusanyiko wa lugha unayopenda ipo tayari kama program. Tembelea bab.la katika duka la maApp ya iTune.
Plug-in ya kamusi ya browser ya Firefox na Internet Explorer
Plugin ya browser inakuruhusu kutafuta utafsiri moja kwa moja kutoka sanduku la browser yako ya utafiti (angalia sehemu ya picha iliyoangazwa). Unaweza kuanza kutafuta kutoka pahali popote kwenye website yoyote(kmf. Google katika picha wakati wa matumizi) bila kupakia website yetu.
The Internet Explorer toolbar lets you look up translations straight from your browser by choosing the desired dictionary from the drop-down menu (see screenshot). You can start searching from any website without having to load the bab.la website. In addition, the toolbar provides search fields to Wikipedia and Google as further information resources.
Click here to add the the Internet Explorer toolbar to your browser. Please note: You need administrator rights for your computer in order to install the toolbar.
The Firefox toolbar lets you look up translations straight from your browser by choosing the desired dictionary from the drop-down menu (see screenshot). You can start searching from any website without having to load the bab.la website. In addition, the toolbar provides search fields to Wikipedia and Google as further information resources.
Click here to add the the Firefox toolbar to your browser.
You can add the bab.la dictionary widget to your own website. Adding the widget is similar to adding a YouTube video: After choosing your customized widget from the drop-down menu below, a code will be generated and displayed. Simply copy and embed the code into your website.
Once installed, anyone visiting your website can search for translations without having to leave your website. The widget will display the most popular translations.
You have three options to customize your widget. With the 'language' setting you choose in which language the widget will be displayed. In the 'dictionary' drop-down you can choose whether you want all dictionaries to be searchable within your widget or whether you prefer one particular dictionary. The 'size' setting allows you to define the width and height of the widget. Please note that a smaller widget allows less translations to be displayed. Once you have chosen your preferred settings click on generate code and your customized code will be displayed.
Lugha
Kamusi
Kubwa
Nakili kificho ya kutia kwenye widget:
Gadget ya kamusi ya iGoogle ya website yako binafsi ya Google
You can add the bab.la dictionary gadget to your iGoogle website (for more information on iGoogle, please visit www.igoogle.com). Once installed, you can search for translations within your personalized iGoogle website. You will get the most popular translations without a new window opening (see screenshot for an example). The gadget supports all dictionaries (Chinese-English, German-English, Spanish-English). You can easily choose your desired dictionary in the edit settings menu: Just click on the arrow button on the top right corner of the gadget (see highlighted area in the screenshot).
Click here to add the bab.la dictionary gadget to your iGoogle website.
Wiget ya Netvibes ya website yako binafsi ya Netvibes
Unaweza kuongeza kamusi ya bab.la ya ‘widget’ kwenye wavuti wako wa Netvibes (kwa maarifa zaidi kwenye Netvibes tafsdhaili tembelea’www.netvibes.com). Mara tu imeshikanishwa , unaweza kutafuta tafsiri katika wavuti wako kipekee wa ‘Netvibes. Utapata tafsiri za kawaida bila kufungua dirisha nyingine. ‘Widget’ inaunga mkono kamusi zoteza (Kichina-Kiingereza, Kijerumani-Kiingereza, Kihispania- Kiingereza). Unaweza kwa urahisi kuchagua kamusi unayoitaka kwa menyu ya kuandika vifaa hapo upande wa juu wa kulia wa ‘widget’ (angalia eneo linalo zungumziwa kwenye picha ya matumizi tarakinishini).
Click here to add the bab.la dictionary gadget to your Netvibes website.
Flake ya kamusi ya Pageflakes website yako binafsi ya Pageflakes
Unaweza kuongeza kwenye kamusi ya bab.la ‘flakes kwenye kurasa za ‘flakes’ kwenye wavuti (kwa maarifa zaidi kwenye kurasa za ‘flakes’, tafadhali www.pageflakes.com ). Mara tu inapoinstoliwa, unaweza kutafuta tafsiri kati ya wavuti ya kurasa zako za ‘flakes’. Utapata tafsiri zako zinazo julikana sana bila kufungua dirisha nyingine. ‘Widget’ inatumia kamusi zote za (Kichina-Kiingereza,Kiijerumani-Kiingereza, KIhispania-Kiingereza). Unaweza kwa urahisi chagua kamusi unayotaka kwenye menyu ya kuenda chini ukitumia mara ya kwanza (angalia sehemu ilio onyeshwa kwenye picha za skrini). Njia nyingine, unaweza kutumia vifaa vya kuandika kwenye kona ya juu ya kulia ya ‘widget’
Click here to add the bab.la dictionary gadget to your Pageflakes website.
Unaweza kuongeza maswali yoyote ya lugha kwenye wavuti wako. Mara tu unapo ongeza jaribio, watumizi wako wataweza kufanya jaribio hili kwenye wavuti wako bila kufungua dirisha mpya. Mwishoni mwa kila jaribio, utaona matokeo ya jaribio kama ilivyo kwenye wavuti yetu. Picha ya matumizi za itaonyesha jaribio la ‘widget’ kwenye wavuti wako wakibinafsi wa Kijerumani. Kama uonavyo, watumizi wataona maarifa hayo na kwa wavuti ya bab.la.
Kama unataka kuongeza jaribio la lugha kwenye wavuti wako, bonyeza tu jaribio unalotaka. Utapata kodi kwenye upande wa kulia (angalia sehemu ilio onyeshwa kwenye picha za skrini). Tolesha nakala ya kodi ya ku‘embed jaribio’ kwenye faili yako ya HTML na umalize. Tafadhali zingatia kuwa ‘widget’ inaupana wa pixel 400.
Kama umeprogramme kifaa chako cha bab.la na unataka kubadilishana na watumiaji wenzako wote, tafadhali wasiliana nasi Andreas. Tutachapisha chombo chako kwenye orodha.