Tunga changa moto yako
bab.la lango la lugha inajumulisha: Tunataka kila mtu ajuinge! Kwenye bab.la unaweza kuunda majaribio yako kwa mada tofauti (kwa mfano majaribio ya matumizi ya lugha, majaribio ya maneno n.k). na kuzituma kwa marafiki, familia au wanafunzi wako. Majaribio yanaweza kutumika kama matayarisho ya safari za ng’ambo, kama somo la kufunza, na kusaidia kuboresha msamiati wako au tu kusoma lugha za kigeni.
Unahitaji kuwa umenjiandikisha ili kuunda jaribio. Baada ya kuingia, muungano utaonekana upande wa kushoto la kutunga changa moto.
Ukiunda jaribio unafaa kufuata hatua mbili za utaratibu: Kwenye hatua ya kwanza, utaweza kuingiza maelezo ya jaribio. Kwenye hatua ya pili, utaweza kuingiza maswali yako.

Weka jaribio lako kwa kuchagua kundi(kwa mfano. Matumizi ya lugha, msamiati, mazungumzo) na kiwango cha lugha (mwanzilishi, aliyejuu, mtaalamu n.k). Pili, tumia maneno muhimu ili kuonyesha jaribio lako (kwa mfano majadiliano ya Kijerumani, kuzungumza, mkutano wa biashara). Maelezo yatasaidia kupata jaribio sahihi ukitafuta.

Unaweza kuongeza maswali zaidi unayotaka kwenye jaribio lako. Unaweza kuchagua katiya jawabu za kuchagua na kujibu maswali. Kwa jawabu za kuchagua andika maswali na kando yake jawabu na jawabu zisizo sahihi. Kidokezo: Tunapendekeza kuandika angalau jawabu mbili zisizo sahihi ili kupunguza kubahatisha jawabu. Jawabu lako litaonyeshwa kama pendekezo badala kwa kila swali. Aina ya maswali ya jawabu ya kuchagua inafaa kabisa kwa mfano kama mkufunzi wa msamiati. Kwa ajili ya nafasi zilizoachwa za maswali andika swali au sentensi, alafu uweke alama kwa neno au kwa fungu kuonyesha ‘haipatikani’ na kubonyeza kwenye ‘nafasi isiyo na kitu’ hapo juu alafu, nafasi ya kuingiza nakala. Kujaza mapengo hutumika kujifunza matumizi yalugha. Ukimalizana na maswali yako, hatua ifuatayo swali litatokea kwenye “kurasa ifuatayo”.
Ukiingiza maswali yote unayohitaji, bonyeza “malizia jaribio” ili kuweka jaribio lako kwenye mtandao. Maswali yote yataorodheshwa mara tu kwa kuangalia. Kama unataka kubadilisha kitu, bonyeza kwenye “andika” na kupata kurasa. Kwa kubonyeza “chapisha jaribio” jaribio lina wekwa kwenye mtandao wa bab.la na itapatikana mara moja kwa watumizi.
Baada ya kuchapisha jaribio, kurasa mpya ikiwa na uhusiano wa moja kwa moja na kuweka alama na kazi ya barua pepe itaonekana. Unaweza kutumia uhusiano wa moja kwa moja ili kupata jaribio kwenye wavuti. Weka alama ya utumizi ili kusaidia kupanga majaribio yako na vifaa vya alama na kufanya jaribio kuwa rahisi ili watumizi wengine wa zione. Unaweza pia kutuma changamoto lako kwa marafiki, familia, wafanyi kazi wenzako na wanafunzi ukitumia kifaa cha barua pepe.